53 Wewe umechoka sana


1. Wewe umechoka sana?
Wataka raha?
Kwake Yesu utapata furaha. 
 
2. Alama anazo yeye?
Sasa! makovu ya mikono, na miguu,
Na mbavu.
 
3. Nacho kimivukwa taji
Kichwa cha huba?
Alivikwa taji kweli miiba.
 
4. Huku nikimfuata nipate nini?
Maonjo nje na ndani amani.
 
5. Kwamba namwandama Bwana,
Mwisho ni nini?
Ni furaha na salama
Mbinguni. 

Comments

Popular posts from this blog

23 Ni salama rohoni mwangu

7 Ni tabibu wa karibu

16 Kumtegemea Mwokozi