44 Kukawa na giza dunia yote


1. Kukawa na giza dunia yote,
Ni Mwanga wa ulimwengu,
Ikaisha ulipokuja yote,
Ni mwanga wa ulimwengu. 
 
Jua, Yesu hana mwenziwe!
Nalipofuka kama wewe:
Nakuombea umwone nawe,
Ni mwanga wa ulimwengu. 
 
2. Hatuna giza tudumuo mwake,
Ni mwanga wa ulimwengu;
Tumwandamiapo nyayoni mwake
Ni mwanga wa ulimwengu.
 
3. Enyi wa gizani wenye kutanga!
Ni mwanga wa ulimwengu,
Kaulekeeni, mpate lenga;
Ni mwanga wa ulimwengu.
 
4. Tutamwona Mwokozi juu ya mbingu
Ni mwanga wa ulimwengu:
Ni nuru za mbingu kondoo wa Mungu
Ni mwanga wa ulimwengu. 

Comments

Popular posts from this blog

23 Ni salama rohoni mwangu

7 Ni tabibu wa karibu

16 Kumtegemea Mwokozi