42 Kivulini mwa Yesu


1. Kivulini mwa Yesu kuna Kituo:
Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu.

Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
kivulini mwa Yesu kuna kituo;
Raha tu, mle; amani tupu,
Furaha tele; kivulini mwa Yesu
Raha tu, mle; amani tupu,
Furaha tele; kivulini mwa Yesu. 

2. Kivulini mwa Yesu nina amani
Iliyopita fahamu, tena itakayodumu.
 
3. Kivulini mwa Yesu, nina furaha;
Furaha yenye fahari, ya kueneza habari. 

Comments

Popular posts from this blog

23 Ni salama rohoni mwangu

7 Ni tabibu wa karibu

16 Kumtegemea Mwokozi