140 Mahali ni pazuri


1. Mahali ni pazuri,
ndugu wanapokaa,
wakipatana vema,
na wakipendana.
 
2. Kama umande mzuri,
unyweshavyo shamba,
vivyo na Mungu wetu,
hubariki ndugu.
 
3. Upendano hujenga,
boma zuri kwao,
wakae na amani,
waliookakoka. 
 
4. Na ulimwengu wote,
watiwa nuruni,
halafu kundi moja,
na mchunga mmoja tu. 

Comments

Popular posts from this blog

23 Ni salama rohoni mwangu

7 Ni tabibu wa karibu

16 Kumtegemea Mwokozi