158 Aniongoza po pote


1. Aniongoza popote
NimwandameSiku zote
Mapenzi yake ni heri
Yalitimizwa kalvari.
 
2. Nitaongozwa na Bwana
Usiku kucha na mchana
Yesu rafiki wa heri
Ninakumbuka kalvari.
 
3. Lanitosha neno lake
Nishikwe na mkono wake
Mapenzi yake ni heri
Yalitimizwa kalvari
 
4. Nitaendelea mbele
Pamoja naye milele
Pendo lake ni hiyari
Bwana Yesu wa Kalvari


Comments